Psalms 78:27-28


27 aAliwanyeshea nyama kama mavumbi,
ndege warukao kama mchanga wa pwani.

28 Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao,
kuzunguka mahema yao yote.
Copyright information for SwhKC